Kenyans broke moments

nimesoma ii link nkaona venye wasee waupitia life when broke maze…
http://nairobiwire.com/2019/03/kenyans-on-twitter-share-their-most-broke-moments-in-life-and-its-unbelievable.html

Hii hatuwes crick.

[ATTACH=full]231069[/ATTACH]

kuna kadhaa za talkers. Msee alikonda hadi akaanza kusag boxers @Ice_Cube leta wrinks

Damn. Worth clicking to read the tweets about what people have gone through. Humbling.

Kuna time nilikuwa mwisho nikiwa campo. I mean nilikuwa na less than 50 Bob hadi mwisho wa semester (3 weeks). Mzae alikuwa amenilipia hostel pale Kahawa Sukari, everything else nijipange. On that day while walking home ndio nilipatana na sugar mummy wa kwanza nikajua pia kudinya ni kazi. After that day huwa sijudge broke campus girls wakiendea sponsor, some do it for survival, especially siku za kwanza.

@M2Random boss hapa kwa shuga mummy umetuvako. Ungesema hapo ndio uli ingia local ukaitishwa pilsners baridi kisha ukapandiliwa na ndume halafu ukapewa tip ya Mia tano. From there on u were recruited to be a lifetime member LGBT.

:D:D

nimeitafuta nikakosa maze

Funny stuff. Hehe ushai kula ugali na tomato sauce? Ama una sprinkle royco kwa ugali ndo ikuwe na ladha at least ya kuiteremsha? Haha life shows you things!

Alafu kuna mtu anasema that no one has died of hunger in Baringo & Turkana. If hunger is an issue in the town how much more in the arid regions…

Nairobi watu wakona mashida chungu mzima…Hakuna kitu mbaya kama kusota mpaka unakosa chakula. Lakini watu bado wata-survive.

At least developed countries mtu akisota afike mwisho anapata food stamps. Imagine if that food stamp policy was implemented in Kenya.

Nothing impossible mblo…