Kenya vs Tz

Ivi tz imeshindia kenya nn?

Sisi ndiyo tunawalisha nyinyi chakula. Nyanya zetu, vitunguu vyetu,Mchaee wetu, nazi zetu, machungwa yetu, mahindi yetu n.k … hata katika ujenzi Mbao zetu. Yaani bila sisi nyinyi hamuendi chooni.

Ww ata kuandika tu ni balaa…, rudi shule kwanza kisha uje nkueleweshe

Mnatupa vya bure

Ndiyo tumewashindia hapo. Then nyinyi mnajifungia ndani sisi tunafanya kazi.

Nimekuuliza kama hivyo vyakula mnatupa bure.
I thought there is exchange of goods and cash.
Wacha niishukuru TZ kwa niamba ya Wakenya if that is what has been happening all along.
We are soon going to start dropping dead coz TZ hawatupei chakula tena

Kwa hiyo hayo mashindano ya nini unayoyataka? Wewe unaweza kujiringanisha na watz. Watz ni watu wakalimu, tuko na ut na tunapendana. Nyinyi mko rafu sana. Wanawake wenu wako rafu. System yenu ya uongozi ipo rafu. Mmejaa ubinafsi. Your leaders are collapse. You even don’t love each other. Wachingaji Wengi ni fake, masheikh fake. Mmejaa tamaa ya mali na hamna ummoja

Ni lipi zuri tujifunze kwenu?

Kenya vs Tz is like…Take an example of USA vs Pakistan.
On one hand Pakistan says how Americans are mannerless and lack morals, how they do drugs and have strip clubs everywhere. etc… (but they low key envy all the freedom US has) but on the other hand, only a handful of US citizens know what Pakistan’s capital is.
In short, the US doesn’t give a flying fvck about Pakistan. So were it not for Kenyans speaking kiswahili… Braza sijui mngekua mna-argue na nani? THREAD CLOSED.

Pls maintain this kind of moral while on ktalk,don’t copy my behaviours.

We huezi nimakia… Niî :D:D?

I don’t blame you I blame that dirty goat that opened its legs to give birth to a fool like you:D:D

Ndiyo tatizo la wakenya. Manachojua ni matsuri, dharau na kutojali utu.

Do you think that we Tanzanians don’t know English?

Bloody fool my dog has more sense than you:D:D Tanzania is a big Shithole:D:D I can’t even let my dog near that zoo:D:D

Pole kwa sababu sizo eza kusaidika tuwezi bishana na wasiojua ku type grammar

Pussy

Ugandans speak their native language na hatubishani nao.
Tanzanians are just…wacha tu

You don’t know English we’ll excuse you for that lakini hata Kiswahili chako si sanifu. Watanzania mnajigamba na kutukejeli na mnasema eti Wakenya tunapenda uzungu mwingi.
Makosa yako:

Sio “kujiringanisha” ni “kujilinganisha”
Sio “wakalimu” ni “wakarimu”
Sio “ummoja” ni “umoja”
“Wachingaji” ni nini?

So basically you guys aren’t good at anything apart from complaining and cheering Magufuli.

Watanzania mnajigamba na kutukejeli na mnasema eti… Hapa pia hakuna kiswahili. Ni takakataka hii.