Mtoto wako amepata grade gani?
@Unataka kujua ili?
[ATTACH=full]491600[/ATTACH]
@Ngimanene na matharo would land shortly and give you an appropriate answer
hehe, bado watu wanafanya kcse? enyewe nilimaliza kitambo shule
Yule 1st born wako alikuja na khupipi amepata ngapi?
:D:D:D
Ako na B plus
:D:D:D:D
Samehea baba mkate buana.
@administrator pin this thread
my grand child had a B minus, not bad at all
Congratulations
Wakisii mmeiba mitihani
Kuna mtoto wa neighbour amepata A- but anasema anataka kufanya diploma in primary education. Eti ako na passion ya kuwa mwalimu wa primo, do you get me?
hehe kila nyani na raha zake, ama labda aliiba na anaogopa kuenda kufanya maths ya engineering
Exactly juu alikuwa mtu wa C
@administrator na @Electronics4u ni mijinga chieth kupindukia, thread ya umama kama hii iko na 14 replies iko pinned kwa nini? Extremely dumb fellows hawa
I support dumber than most those two fellows