KCSE 2022 results official thread

Leonn

Village Elder
#14
Kuna mtoto wa neighbour amepata A- but anasema anataka kufanya diploma in primary education. Eti ako na passion ya kuwa mwalimu wa primo, do you get me?
hehe kila nyani na raha zake, ama labda aliiba na anaogopa kuenda kufanya maths ya engineering
 
Top