Kasarani Guys How Do You Survive

So leo ngware (around 5 AM) napata text ya ariff yangu anaishi hiyo area ya seasons akinikopa 10k nimtumie kwa another number. I know the nigga well na sio mtu wa mashida shida hivi. Nikakuwa alarmed juu ni Sato asubuhi na nimesoma story mingi sana za ulevi online. Nikaamua kumcall before nitume pesa but kila time user busy. Nikaamua kuenda hadi kwake kumbe jamaa aliwekewa mchele. I have never trusted clubs za hiyo area akina Red Office na Carwash juu hiyo area ni HQ ya pokostes wenye walikuwa wanawekea watu mchele Natives kabla ibomolewe. Nyumba amefagiwa laptops mbili, simu yake ndio wako nayo, pesa etc. I guess alishindwa kuiba TV juu ya size. Hata ni mimi nimemuamsha. Kasarani, Roysambu na Zimmerman ni place fire sana I would never find myself drunk hizo zone.

So they used his phone to borrow you money? It appears they had already quized him his MPESA pin as well

No they hadn’t. If they had, they wouldn’t have asked me to send the money to a different number.

hata dusit utawekewa kama wewe ni wa kuwekewa

Can’t decide if you gay or just a very good friend.

natives came and left the aclobev industry na bado red office na car wash ziko

Huyo aharakishe ablock that number before watu kaa wote wasend pesa. Pia watatumia his ID kuborrow from tala, branch etc.

This area is bad. I landed here in August last year and for the first time in my 20 years of drinking I was drugged

Leta hekaya. Walikuibia nini?

Still traumatised

Laptop 3 work related tabs, and a hundred shill9

Sijawai ona mchele car wash and i drink there alot. Place utawekewa mchele mpaka pombe yako ikuwe thick kama uji ni Red office and monaco. But then again i guess siku yako ikifika hauwezi epuka

I got it at redoffice

Huko ni noma i was told of a guy who died after kuwekewa mchele akiwa huko.

I now keep distance, I get traumatised whenever I pass 50 meters away

Na hii Red Office ilikuwa imekuwa gassed up sana when it opened. That’s another variation ya Natives

Kuwekewa mchele is so common nowadays. I have 2 friends who have gone through the same for the past 1 year. Same case…“Morning kindly mpesa me 6k iwill refund by 2pm in an emergency”…

Mimi na sema kama Ni first time umepata kunguru kwa club. Chukua number alafu wewe enda home solo upige nduthi. Chat na yeye regularly. Then Take her out Kama mara mbili before taking her to your house. Hapo utakua sure huyu kunguru si mwizi but Ni Dem wakupatia slices

Red office ni ya @ciokariga true story

I have been to red office fucked a whore didn’t pay her she was too drunk