Kamakis Restaurant

Kuna crush amenishow nimpeleke Kamakis Restaurant akule nyama choma. Kindly update me on the rates if you have ever been there. And location too

Fukara bei ya nyama kilo moja si kitu ya kuulizia hapa…tubaff

900 kg moja
Iko swafi kabisa

Naskia hamna customers. Utakula nyama za fridge za ku-rewind. Plus other complaints, wacha tu.

Plus food handling ni ile ile tu. Afadhali mkule pizza ama upike. Skiza Kagwe ama ujikute KNH.

https://www.youtube.com/watch?v=y0D2IV6M2tM

That was 2019 before corona.

1kg for 2 people si nyingi?

1200 mkono/mguu. But Kamakis na vile Corona imeangusha biashara si mtakula nyama imekaa. Endeni Kilimanjaro muitishe Arrosto na ufunge io hesabu.

Not really after ikulwe na moto na unscrupulous wakanyama.

Ufukara sii kilema. Lakini MTU anaulizia being ya nyama hafai hata kusimamisha wacha kumwaga ndani. It is criminal to erect while poor.

My fellow peasant, just take a vow of celibacy. Hakuna haja ya kulazimisha mambo. Utaumia tu alafu urudi hapa ukiwa MGTOW. :D:D:D

Wacheni ajibambe Thao imetosha watu wawili wakule kitu huko na soda kwasababu korona hakuna kubuy gej

gej utauziwa if you know how

Lakini inaweza kunywa hadharani ?

Ni kidogo kama ni waluhya

most bars ziko na ka clandestine hideout

Huyo amezoea Kamakis.sii mgeni huko.
That means yeye ni ----

btw