Kama unahitaji laini ya wakala kwa jina lako basi usisite kunitafuta

Napatikana Ubungo Dar es Salaam.
Njoo ujipatie laini ya wakala(Airtelmoney) kwa jina lako.
Malipo ni baada ya kupata laini.
Nitafute kwa namba 0655744410/0755744410
Note:Laini unapata baada ya siku mbili tu.

Mkuu laini ya wakala inaweza kutunza hadi shilingi ngapi??..kubeba yaani

Haina mwisho ni kama akaunti ya benki.

Bei?