Kama Mtangazaji Chacha Maginga anamuita ' Lioleli Messi ' badala ya ' Lionel Messi ' ningeshangaa kama wangewafunga Wafaransa!

#1
Ninachojua baadae Saa 3 usiku Uruguay hawataniangusha Kipenzi chao GENTAMYCINE kwa kuwafunga na kuwafurumusha mashindanoni Portugal wakiwa na ' Shoga ' yao mmoja asiyejua mpira na ninayemchukia kuliko Shetani Mkuu Lucifa.

Malaika Mkuu Lionel Messi akitoka ' mashindanoni ' haiwezekani Shetani Mkuu ' Lucifa ' akabakia na kuendelea na ' Mashindano ' haya ya Kombe la Dunia yanayoendelea huko nchini Urusi.

Ewe Mwenyezi Mungu najua siku zote huwa unanipenda na kamwe hujawahi hata siku moja kuniangusha pale ninapokuomba hivyo nakuomba tena ifikapo tu Saa 3 Kamili usiku fanya kila uwezalo Timu ya Taifa ya Uruguay iwafunge Portugal ( Wareno ) kati ya Goli 5 au 7 kwa bila / sifuri ili roho yangu ifurahi na moyo wangu uwe na amani.

Nawasilisha.
 
Last edited:

idawa1

Senior Villager
#3
Naunga mkono hoja yako kama wabunge wa ccm wanavyounga mkono hoja mbalimbali za serikali bila kufikiri.

Napenda kuona Ureno wakipata tabu sana
 

Top