Kama huna $ 2200 please read only

[ATTACH=full]180076[/ATTACH]

HAPO KWENYE $ 2,200

duhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh

Ttalk sihami ng’ooooo!

Sheria kama za kikoloni. Kuna baadhi Watanzania viongozi wenye dhamana hawajimbui,wao lao kumfurahisha mkuu.Tuna haribu taifa.

Aisee

Hyo Avatar mkuu utadhani umenyeshewa au upo Iringa kwenye baridi.
OK, hawa viongozi wakiwa Raia wataelewa nini walikuwa wanafanya

Ajira mmpe wenyewe kisha mlalamike wenyewe

Hapo sasa?! Siku ya kuchaguwa twaamuwa kulala!

Wana angalia na exchange rate ya wakati huo?

Inasikitisha sana…

Wanadhani mitandao ni kama vile daladala ambayo unaweza kulisimamisha unavyotaka na kulitoza faini…

Cc: @Mahondaw