Kama huna $ 2200 please read only

VAPS

Senior Villager
#4
Sheria kama za kikoloni. Kuna baadhi Watanzania viongozi wenye dhamana hawajimbui,wao lao kumfurahisha mkuu.Tuna haribu taifa.
 
Gidheli

Village Elder
#6
Sheria kama za kikoloni. Kuna baadhi Watanzania viongozi wenye dhamana hawajimbui,wao lao kumfurahisha mkuu.Tuna haribu taifa.
Hyo Avatar mkuu utadhani umenyeshewa au upo Iringa kwenye baridi.
OK, hawa viongozi wakiwa Raia wataelewa nini walikuwa wanafanya
 
Top