kadoda jizee la 60s from jamiiforum is officially here looking for his kenyan friends in kenyatalk.

#23
Sasa Hao wasomi ulikutana nao wapi ukazungumza nao, ukagundua kwamba hawatumii lugha ya Kenya aka sheng? Ama ukiwaona kwenye runinga watarajia wazungumze sheng?
Na ndio nikakwambia, punguza mentality ya kikoloni....
nimeishi na wakenya wa kada tofauti tofauti, wale mafukara na wale wenye kipato cha kati.

wale wa kipato cha kati sikuwahi ona wakizungumza sheng. si wao tu, hata watoto wao.

wale wakenya mafukara ndio angalau nimeshuhudia wakizungumza sheng. hudhani kwamba sheng ni lugha ya watu masikini wa kenya?
 
#28
#34
Happy to see you too, naona umekuja kupambana teh
hapana dear, huku sijaja kupambana... nimekuja kulainisha viungo. mapambabo yalikuwa jf. huku sijaona wa kupimana naye ubavu. wakenya wenyewe hoja zao nyepesi nyepesi.... hawataki mada za kupasuana vichwa.

ilifika wakati kule JF kabla hujajibu post ya mtu, lazima kwanza uzame google kutafuta reference na ujilidhishe ndio urudi kumjibu.
 
#35

Inabidi kumshauri mod @The Tweet aanzishe jukwaa la africa mashariki ndani ya hii sub forum ili mapambano ya hoja uaendelee.
 
Top