kadoda jizee la 60s from jamiiforum is officially here looking for his kenyan friends in kenyatalk.

123tokambio

Village Sponsor
#20
mbona wakenya wasomi hawazungumzi sheng?... kwanini inazungumzwa tu maeneo duni ya watu fukara wa nairobi?.
Sasa Hao wasomi ulikutana nao wapi ukazungumza nao, ukagundua kwamba hawatumii lugha ya Kenya aka sheng? Ama ukiwaona kwenye runinga watarajia wazungumze sheng?
Na ndio nikakwambia, punguza mentality ya kikoloni....
 

Top