June ishafika bana, mbona corona haimalisi sisi?

@Electronics4u @D… Mungai and other prophets of doom, explain yourselefus bana. Nimengoja corona iniangushe nikachoka. @Azor Ahai, expert wa ventilators, tuskume prediction ya massive deaths mpaka August ama? :D:D:D

:D:D:D:D cc @Purple

:D:D:D Alikuwa anasema ati sijui ni “log phase” ama ni long face! :D:D:D

Nilikuwa nishaweka order ya coffin, nikaandika will ya watu ntaachia belonging zangu kwa bedshitter, na nikasamehea maadui. I feel cheated banaa :D:D:D

:smiley: labda wrong phase

Ngoja some retard akuje akwambie testing ndio haifanywi sawa sawa.

In some people Corona is manifesting itself as mental illness and cowardice :D:D:D:D

@Electronics4u aliomba msamaha…tumwache

Kuna watu hawana content na lazma watafute likes ndio waboast online ati venye wanapendwa so these threads will be common.:D:D

Karibu uuze cyber

:D:D:D

Siku hizi baridi huwa inaingia July proper, everything has shifted.

So tuseme July ndio tutaanza kukufa kama kumbekumbe?

Kuna jamaa washaingiza baridi already… every time ni kureport report symptoms fake.

Iyo story ya June ni speculation tu.hata Spain na Italy it didn’t take long kuangusha watu

But in reality, the weather has a big part to play in determining the spread of COVID-19. Remember, the outbreaks in italy coincided with the skiing season

Senegal imebidi watangaze easing of curfew after protests. Watu wamechoka na huu upuzi

True.
Lakini shesha shini sitaki uncle aone hii priss.

Be brave

Hata huku new cases and new death zimeongezeka cz ya mvua na baridi