Jukwaa la Wakubwa

Wadau nilikuwa nna swali kidogo hivi huku KenyaTalk hakuna jukwaa letu pendwa kama kule JF japo tukasafishe macho vizuri

Huku hawana huo ujinga

Wanatunyima raha hawa

naskia lipo pm @The Tweet akupe access

Niliona mkei mmoja analiomba kule kwenye maoni

Poa

https://www.kenyatalk.com/index.php?forums/jukwaa-la-wakubwa.51/
ilo hapo

Hmm!.. :oops::oops::oops:

Nimeshindwa kuaccess hiyo link

ibilisi

Hili muhimu sana asee

Huku wote bi villagers bado hawajafika mjini

:p:p:p:p:p:p:p:p

Ila hilo jukwaa hata kule JF sijawahi kufikiria kuomba kuingia.

Ila niligundua moja tu kama uko kwenye Jukwaa la Dini basi Jukwa la wakubwa hawakupi access, vivyo hivyo na kama uko kwenye Jukwaa la Wakubwa hawakupi access la Jukwaa la dini.

Sijawahi fikiria kuingia uko,nahisi dhambi

kusafisha macho ndio aje ivo

Kumbe ndio maana!

Kusisimua mpigo wa damu mwilini, moja ya benefits zake huwa uwezo wa macho kuona vyema huongezeka

@The Tweet nipe idhini ya kuosha macho, hii link imebanwa kwa wengine

aiseeee