Jukwaa la Mapishi

Madame S

Village Elder
#1
@The Tweet niliomba hilo jukwaa muda tu lakini mbona kama umenisahau?

Honestly, napenda sana kupika nilikua n moja ya jukwaa langu kule home the great thinkers bas naomba nikidhiwe kiu yangu pengine kuna mtu naye anahitaj jukwaa hili pia anaona shida kujieleza

Kwa heshima na taadhima ninaomba jukwaa la maakuli la kupika pika kama ile jf chef

Ahsante n matumaini yangu ombi langu litafanyiwa kazi
 

Top