Jiwe;kwangu mimi bora kujenga barabara kuliko kuongeza mishahara watumishi

ati leo anawaonea huruma wafanya kazi ,amesitisha kwa mdomo sheria 25%,vituko bongoland

Ngoja tuone…

Cc: @Mahondaw

Mpuuuuuzi sana yule mtu

Maigizo tuu yale