Jiungeni Kwa Username Zilezile Kuleta Msisimko

reyzzap

Senior Villager
#11
Kwanza nisaidieni wakuu....tangu jana natafuta namna ya kujiunga nashindwa....kuna hili neno recapture limenisumbua mno....yani hapa nimejiunga kupitia face book
bila shaka ni uwezo wa simu unayotumia ina uwezo mdg kwaio itabd utafte cm nyingne kwanza ili ujiunge then utaendelea nayo ukishajiunga, ila kama iko poa basi hakikisha unatumia crome au safari unapoanza kujiunga ndo zinakubari recapture, kwa operamin au direct from google utakesha, ila ukishajiunga waweza tumia yoyote
 
#13

Nimefanikiwa mkuu..
Samsung Grand Neo sii ndogo bana..
 
Mwifwa

Village Elder
#18
Kwa kweli itajulikana mbele ya safari lakini kuja ndiyo tumeshakuja. Kinachofurahisha ni mfanano fulani hivi na Jf!
Mfanano ni ule ule maana majukwaa karibia yote yamekamilika.

Na member ingetakiwa tuje kwa ID zetu za JF ingependeza zaidi japo kuna hofu ya usalama na watu wameamua kuja kwa ID mpya(sio vibaya pia)

Kikubwa tuendelee kujadili na kuhabarishana kama ilivyokuwa kule JF, wengi wetu tulikuwa tunaitegemea JF kwa habari mbalimbali kuliko vyombo vya habari kama TV na magazeti.
 
Top