Jimbuzi

Sijui ninunue jimbuzi wapi. My friend is also looking for one…in short tuko tayari kutajirisha mtu. Anywhere I can buy a he-goat area za Kirinyaga?

Uko county already? Kichinjio cha musakuthi kuna woriah huleta mbuzi.

Bado but naweza tuma mtu ako area. Musakuthi iko mwea ama? Naskia Kagio kuna soko pia

Where is your home?

Kibirigwi

Basi Hata huko ni mbali no wonder Hata hujui musakuthi

Naskiaga tu musakuthi.

Ni karibu na Njegas au Samson Corner

Wanaletaga lini ama ni time zote?

Aaaarhhh…Sagana iko kichinjio,Kibirigwi yenyewe iko na kichinjio,Karatina iko na kichinjio…tiga gututhima ngoma

Enda karatina Tuesday Thursday na Saturday. Ama gakindu mukurweini kuna marafiki huwa tunatuma huko wanaleta Hadi ndeiya

Iko wapi kichinjio kibirigwi? Wacha porojo wewe. Labda ya kuku

Karatina is near. Will go check there

Boss,porojo or no porojo,kelele or no kelele,there was reason why i said that Kibirigwi kuna kichinjio. If you can not get someone wagutunyunya mburi tatha kwanyu gicagi ri,that you have to come here to ask,iko chida. KuMbwa sana.

Hapo kwenu miupiga gari free juu ya mteremko.

It’s okay. Peace is paramount

Kupanda ndio inakuwaga noma. You can walk faster than some cars

Nimeambiwa Makutano mbuzi wako kwa wingi. No more worries

Wewe ni yule trojan wa klost

Hapana. I’m only in Ktalk and Quora