JF wametoweka tena, hewani?

Ndio wanafanya marekebisho yao tena?

Ngoja nitulie ukimbizini

Kumbe, mie wamenivuruga sipo huko siku mingi

Wameyumba, ndivyo itakavyokuwa daily

Ndiomaana nasemaga huku sitoki

Mchepuko huu mkuu,nyumba kubwa ikizingua unakuja kuponea huku

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mchepuko ndio habari ya mjini

Ndugu wajumbe, samahani kwa kuchelewa kuleta picha…
Naomba kuwasilisha…[ATTACH=full]185757[/ATTACH]

mchepuko fc

Sometimes bora kuchepuka kupunguza kero

Sasa kinacho nichosha kwa hii nyumba ndogo ni kiswanglish Yao mazeee…

Long time missing here

:D:D:D

Karibu tubonge mambo za Kei…
Hapo wanasahau kwamba hilo neno linanaana ya K. Na ukisema K yako kule Tiziii utaonekana umemtusi mtu… tehteehhh

Thamani ya Mchepuko inazidi kupaa

Wamerudi

Watapata tabu sana…!!!1

Yajayo yanafurahisha…

Na uke wa Kenya ili kujihabarisha zaidi :D:D:D:D:D:D:D