JF rasmi hewani leo

Mlangoni wameweka bandiko hili

JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Asante kwa kuendelea kuwa mvumilivu wakati huduma yetu ikiwa haipatikani. Tunarejea rasmi hewani leo (muda mfupi kuanzia sasa)! Uongozi - JamiiForums

Tunawasubiri ili tuone mlivyobadilika baada ya kutoka kifungoni,je kuna sherehe yoyote ile?
Nalog off

Tumechoka matangazo.
Huku hakunogi 100% kama kule.

sawa ngoja tuweke mduara huku uswahilini sijui wangapi wangapi kwa kula.

Yetu macho

Hakunogi kabisa kiswahili chao Meffi [joke] kabisa

Kwangu imepotea kabisa hata hayo maandishi hayapo,

Afadhali mtu wangu…

Good news, Thnx

Ingia google kisha igoogle jamiiforums click hapo yatakuja hayo maandishi,yasipotokea na huko jua umekula ban(joke)

Ngoja niwe mpole tu maana mwisho wa siku ntaishia kwenye huo ujumbe tu

bado tu

Nishandaa kadi ya mpiga kura hapa.

Ikirejea itakuwa na masharti makali sana.

Wakinitisha email staingia

Hata kama itarudi huku bado kutaendelea kuwa salama zaidi kuliko huko home. Na jf ya huku itakuwa mchepuko wa hiyo ya huko hm kwenye mizengwe.

Ngoja tusubiri.

yan wameondoa hat ile ya kusoma tu… vp mtu wa tcra wa kusain ndo kasain leo…! nasubir zaid

nomaaa dah nafikiri itarejea vilevile kwa mtindo wa kusoma no post

Imesharudi kamili kama zaman

Itapendeza sana…

Cc: @Mahondaw