Jenga na Jalas

Naona hawa majamaa wanajengewa nyumba for free by promising to push brands, jamaa wa fence, jamaa wa nyasi, jamaa wa choo etc etc mpaka nyumba zimalizike.
Hata mimi nitakuwa social media influenza nijengewe nyumba, @Randy kuja kazi nitakupromote and tag you kwa Ngima media, @uwesmake nipee pesa nitakuita uongee kuhusu Ekwitii pia kwa Ngima media. Na anyone else who needs exposure and publicity.

Uwesmake ni wa Kenya women.

Wewe ni mwekaji wa solar? Si utaniwekea pia nikutangaze mwanasolar hodari Hakimoto

Enda manispa ujaze forms, then subiri ujengewe bure

Kuwa partner, hata kama utakuwa soja unachunga material hapo manispaa municipality, nitashukuru

Wemekuja na mioto, mrembo akawatuliza

https://www.youtube.com/watch?v=XXP1wMj1Nu0:413

Wacha ajengwe unlimited supply of pûssy

Jalas is raising very good, valid points … black cotton kutolewa for instance, it’s only in Kenya where they follow such archaic nonsense.

Pale Texas kwa akina @Kahuni Maisha they just do beam to beam. They don’t fight the cotton soil that covers most of the American South. The U.S had a lot of cotton grown on that soil during slavery but huwezi skia hio ujinga ya kutoa cotton soil ati ndio ujenge.

I wish govt officials would watch this video. Ile ujinga iko Kenya ni ya hali ya juu. Halafu skia hizo licence zote. Wizi tu.

Kenya govt hates young people. These guys are so ready to move forward but the obstacles are so numerous and tough even for guys with some clout like these ones.

Licences pekeyake ni 98k

Hio hata mimi nimeskia hio uchungu.

na wanadai for no reason at all! Just wizi.

They are raising genuine issue…shamba Ni yako lakini lazma ulipane endless fees ndio ujenge.

Imagine. Na hio ni simple home, now imagine mtu anajenga apartment … halafu ukimaliza hivi kra iko hapo na wewe kila mwezi!
Ndio maana 10 pages in a newspaper zimejaa flats (and homes) ready to be auctioned.

There is something wrong somewhere.

Ngojea wa Jesus, bahati na njugush wacopy hii upuss

Fanya vlogging ya “Kupigwa nyongolo by Gaza”

Hii ktalk wewe pekee ndio unakuaga hopeless,jinyonge ukakaishe @Mjusi Kafiri kule ahera

Mishahara itatoka wapi bwana, kulipa rates lazima.

Shoga meza dawa za ARV

Uwes the only thing anaweza donate ni sperms

This is decent project but I wish ingekua kwa mtaa poa… This guys have no plans of living there… the chances of those houses getting abandoned are too high caretaker ndio atakua anajitawala uko.