Je??? Utafanyaje iwapo unampa Demu wako Pesa halafu naye anampa Bwana ake ampendae?

leteni majibu hapa

Kwani wewe utajuaje kama anampa

Na kama umegundua anampa gundua kwako hamna upendo piga chini

Achana nae.

Majibu yapi unataka kama umeshajua hivyo we ni mtu mzima fanya vile moyo wako unapenda kwa mpenzi wako

Umempa jibu muafaka kabisa tena mubashara

Jiongeze…

Usimpe tena hela

Aendelee nae tu huku ameshajua kuna kidume kingine na hela kinapewa

Mgawanyo wa rasilimali pesa…

Cc: @Mahondaw

Huo ni ufala… Bora angekuwa hajui

Hao ndio wale machizi kupenda hata akimkuta mpenzi wake anakulwa hapo anaendelea naye

namtafutia mwenzake then namweka kando

Hapo maana yake una madem wawili. Kama dini inaruhusu oa wote.

Yaan wewe nimecheka sana

Usicheke kwa sauti jiwe atasikia

Nitazidi kumpa pesa

JIONGEZE

Siku nikijua atapata tabu sana…narudia atapata tabu sana

Naunga mkono hoja
Ikiwezekana asindikizwe na makofi mawili matatu kwa kumfanya jamaa zoba

Ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, mzee baba si ufanye tu maamuzi magumu tu