Jayden appoints judges

BREAKING NEWS:

President UHURU Kenyatta finally Appoints 34 Judges, that were initially recommended by JSC.

Joel Mwaura Ngugi, Weldon Korir, George Odunga & Aggrey Muchelule among those missing from the initial list of 41.

Yaani anawacha Odunga na Professor Ngugi? :D:D

Wapi hiyo notice ya kanzet?

Kenye ina nikulanga kichwa usiku wa manane ni, ule judge mwenye alikua na PhD mbili mbona hakupewa kazi ya CJ na ilhali yeye ndio amesoma kuliko wote

katiba inasema ukuwe umesoma law ndio ukuwe jaj. Sio P E :D:D

Na yule ana jina kama footballer ako wapi.

‘Rauwal’

From the onset, hawakua wanadai outsider. Mtu kama Fred Ngatia, if you ask me, was beyond qualified. Over 40 years experience–io mileage ni mob wadau. Sidai kuingia deep kwa portfolio yake. In short they wanted a buddy from their own house–the Judiciary. Wamekula kiapo kama jamaa za cryptocurrency or forex.

Rawal na Tunoi walikuwa wamepaka kiti ya jaj supaglu ndio wasitolewe. Mutunga ni nani? Walienda wakiendaanga na hizo viti zao.

Kwani umekuwa wapi mse?

ako na exprerience lakini that by itself is not enough.

CJ pia ni administrator/manager. Ana head a whole arm of government. Lazima uweze kuonyesha uko na managerial/organisational skills za tosha ku run judiciary na pia ku maneuver politics na games between judiciary na the other arms of parliament.

Sasa msee wako, na law firm yake wakili ni yeye pekee hukuwa hapo, angewezaje ku demonstrate ako na administrative skills za kutosha?

Asante. Sijakuwa nikiangalia news…