JamiiForums haijahamia Kenya,hili ni jukwaa tu...

Kwa wale waliofika humu tangu jumatatu walikutana na “Tanzanian News and Politics” instead of Jamii Forums.

Lakini baadae wengi wao walianza kuomba majukwaa ya yote JF yawe humu.Hivyo uamuzi ukafikiwa kuwa jukwaa la Watanzania liitwe ‘Jamii Forums’ na liwe na majukwaa yote muhimu.Hivyo si sahihi kusema JF imehamia Kenya.Ni Jukwaa tu.

Kuhusu kanusho hili,nimeisoma habari katika The Citizen,Max amesema ameshasikia na kuona.Ila hawezi kufanya chochote.

JF ya KenyaTalk ni jukwaa tu kama lilivyo jukwaa la Kenyan News and Politics kule JF wala halina “uhusiano” na Founders wa Jamii Forums.

Tusitake kukanusha Mkuu, uhusiano upo 100% ni kama kusema wale wakimbizi walioko Kigoma
hawana uhusiano na Wahutu au Watutsi wakati unaona kabisa ni walewale Kina Ntibantunganya?
JF haijahamia Kenya WanaJF tumehamia Kenya ni Uhusiano Mkubwa huu, Tunachoweza kukubali
ni kuwa UONGOZI wa Jamii Forums ya Tanzania hauhusiki.

Thanks for info, tuliokuwa wa kwanza humu ndani tunajua kilichokuwemo hivyo mmefanya vizuri ili wengine waweze kujua origin, ya kwamba haimaanishi kwamba Jamii forum wamehamishia Kenya Bali hili ni jukwa km lilivyokuwa lile la Kenya Jamii forum

Nakazia!

ubarikiwe saana kwa ufafanuzi.ongezeni majukwaa jamani.jukwaa la elimu,na mengine yaliyoachwa.

Kama ilivyokuwa kwa jukwaa la Kenya kule Jamiiforum

sawa ila ni wakimbizi kutoka Tanzania

Jamiiforums ni watu, na watu ndiyo sisi.

Umekazia kwa uoga kaka

Haa ulitaka nikazieje?

Hukupaswa kukanusha kihivi,
Km umewaogopa JF vile

Umefafanua vizuri sana, sema wahanga wa JF ndio hao hao wanaendelea huku ndio maana kwa kifupi tunasema JF imehamia Kenya

Iwe itakavyokua, tiite tutakavyoiita ukweli tumefurahi kujumuika pamoja tena baada ya yale majukwaa ya awali kufungiwa ghafla na kwa ukatili

Hahaaa…uongozi wa JF umebaki Tz ila jukwaa la JF liko kenya.

Kenya wakitafuta brand name nzuri wanaweza kamata watu wengi.

Home sweet home. Back in another style.

Big up Kenyans

Yap! Kuna watu wengi wanapenda kujichanganya kwenye vijiwe kama hivi.

Wacha waendelee kushikilia kule, sisi tunaburudika huku. Oyayooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo

umeonaaa eeehhhh
back again

Wimbi la pili la wakimbizi kutua Kenya baada ya wahanga waliokimbilia shimoni Kenya.