Jamiiforum ya sasa hatari kwa usalama

Jamani kwa kifupi sana jf ya sasa sio salama kabisa. Kutokana na makubaliano ya pande mbili. Hapana chezea ubabe na vitisho vya jiwe lazima unyanyue mikono juu vitisho napo fika level ya familia

!
!
@Ccm

Wamekubaliana nini!!??

Bw @Ccm fafanua vzr tukuelewe…

Mashauri bado yanasikilizwa makubaliano bado hayajafikiwa…

PM na likes zimeanza kufanya kazi…

Cc: @Mahondaw

JF itarudi ina mimba
Nalog off

Naambiwa ofisi zipo pale pale Dar na hakuna kilichoamishwa, hivyo basi jamii wamekubali vigezo na masharti ya TCRA na ndio wamestop watu kupost chochote hii inamaanisha kuna kujisajiri upya.

Mpaka hapo utajua tu JF si salama tena.

Kama Mambo Yamemfika Mpaka Kwenye Familia Kuna Haja Gani Ya Jamaa Kuirudisha Si Bora Apumzike Tu…

At stone age mtu uliweza kiwaficha watu info yoyote na ukafanikiwa kwa asilimia mia. Zama za sasa kujaribu kuzuia watu wasipashane habari utakuwa unajishisha tu.

NARUDI TENA MSIRUDI KULE,JIWE ANA HASIRA BALAA NA MWANAYE BASHITE ANATAKA ASIFIWE TU INGAWA NI FISADI KUU, TUBAKI HAPAHAPA

Ni heri tubaki huku tu. Naona kuna kila dalili ya usajili mpya jf ndio turuhusiwe kutumia lasivyo hakitaeleweka,rip old ids

Melo si awauzie tu hiyo jf?

Nimejisajili upya kama dakika tano zilizopita lakini mambo ndio yaleyale,hakuna sehemu ya ku-coments,kuandika “uji mpya”,ku-edit nk,kwa ufupi JF bado haiku hewani…

Unadhani ni nini kinachokufanya usiweze kupost chochote?
Hebu fikiri zaidi , hapo pana masharti yanakuja.

Yanakuja”,kumbe ni “future tense” ,huna uhakika nini kitaendelea,labda JF watakubali masharti au hawatakubali mashart…

Viongozi wa JF wakiona wateja wengi mnakimbilia huku watawalazimisha KT waitoe JF ndani ya Fomur yao…

Kimsingi ni kwamba ukitaka kupotezwa na wasiojulikana wewe nenda Jamii forums post mambo yanayyoiudhi CCM unajua kwenye mavi ya Kuku, Mavi ni nini na Mkojo ni nini.

:D:D:D ili wakapigishwe kwata…

Rip JF Original!

Hawana huo ubavu,sisi huku tupo kimpango wetu.Na jamiiforum ni neno general halina umiliki