Jamii forums yaanza kurejea ila huku sibanduki

https://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2018/06/243291_ea2512b9bdc279cbdf1f633c11fe0ee9.png

Kwa upande wangu sijaona jipya hapo ni jambo ambalo lilikua linawezekana tangu mwanzo kuacha watu wasome post bila kucoment chochote

IKO KWA AJILI YA KUSOMA TU YALIYOPITA…

Kuhusu kubanduka ama kutobanduka ni shida zako mwnywe

Mimi mwenyewe nashangaa watu wanashangilia nini??

Sawa