Jamii Forums inajifunza nini kutoka katika mitandao iliyofanikiwa kama Facebook, Twitter, Instagram, Airbnb, n.k

+255in

Senior Villager
#55
Suala la mitandao ya kijamii kutoa taarifa za faragha kwa vyombo vinavyo simamia sheria ni la kila mahali hapa duniani. Lakini cha ajabu hapa Tanzania Maxence Melo anaiaminisha jamii kuwa hakuna kitu kama hicho. Hiyo hapo juu ni kutokana na sheria za Marekani na kuna International Laws ambapo pia Facebook wanakuwa Liable kwao kutoa taarifa in-case of Criminal Investigation.

Kwa wale waliomakini na matumizi ya mitandao ya kijamii hivi karibuni kuanzia mwezi Mei 25, 2018 kila mtandao ulifanya marekebisho katika User na Privacy Policies zao. Hii ilitokana na mabadiliko ya sheria katika mataifa ya Ulaya (European GDPR) hivyo kuwalazimu kufanya marekebisho yatakayo endana na matakwa ya sheria hizo. Hii ilitokana na kesi iliyokuwa inamkabili Mark Zuckerberg kufuatia kuuza data kwa kampuni ya Cambridge Analytics. Jamii Forums ilikuwa ni moja ya mtandao uliofanya Updates (Sikufanikiwa kusoma mabadiliko yao yalihusu nini). Suala la kujiuliza ni kuwa mabadiliko yao (Jamii FOrums) yaliyofanyika sambamba na mitandao mingine yalihusu nini? Au ulikuwa ni mkumbo tu kwa sababu mitandao mingine wamefanya hivyo? Max kubali kujifunza kwa walio fanikiwa utafanikiwa!
Wewe ni K...unatumia tuu jina la M4C ili uaminiwe...ila kila siku una saini buku saba.....nyambafu....kawadanganye Kule JF tz siyo hapa jfktalk..hapa tuko amplified.. tuko juuu...tuko aware...
 
#59
Wewe ni K...unatumia tuu jina la M4C ili uaminiwe...ila kila siku una saini buku saba.....nyambafu....kawadanganye Kule JF tz siyo hapa jfktalk..hapa tuko amplified.. tuko juuu...tuko aware...
K ni K tu hata wewe ndo ulipotokea na unahangaika kurudi kila siku! Jibu hoja sio kujifanya mjuaji, wakati hujui lolote
 

Top