Jamii Forums inajifunza nini kutoka katika mitandao iliyofanikiwa kama Facebook, Twitter, Instagram, Airbnb, n.k

#1
U.S. Legal Process Requirements
We disclose account records solely in accordance with our terms of service and applicable law, including the federal Stored Communications Act ("SCA"), 18 U.S.C. Sections 2701-2712. Under U.S. law:

  • A valid subpoena issued in connection with an official criminal investigation is required to compel the disclosure of basic subscriber records (defined in 18 U.S.C. Section 2703(c)(2)), which may include: name, length of service, credit card information, email address(es), and a recent login/logout IP address(es), if available.
  • A court order issued under 18 U.S.C. Section 2703(d) is required to compel the disclosure of certain records or other information pertaining to the account, not including contents of communications, which may include message headers and IP addresses, in addition to the basic subscriber records identified above.
  • A search warrant issued under the procedures described in the Federal Rules of Criminal Procedure or equivalent state warrant procedures upon a showing of probable cause is required to compel the disclosure of the stored contents of any account, which may include messages, photos, videos, timeline posts, and location information.
  • We interpret the national security letter provision as applied to Facebook to require the production of only 2 categories of information: name and length of service.
International Legal Process Requirements
We disclose account records solely in accordance with our terms of service and applicable law. A Mutual Legal Assistance Treaty request or letter rogatory may be required to compel the disclosure of the contents of an account. Further information can be found here.
Suala la mitandao ya kijamii kutoa taarifa za faragha kwa vyombo vinavyo simamia sheria ni la kila mahali hapa duniani. Lakini cha ajabu hapa Tanzania Maxence Melo anaiaminisha jamii kuwa hakuna kitu kama hicho. Hiyo hapo juu ni kutokana na sheria za Marekani na kuna International Laws ambapo pia Facebook wanakuwa Liable kwao kutoa taarifa in-case of Criminal Investigation.

Kwa wale waliomakini na matumizi ya mitandao ya kijamii hivi karibuni kuanzia mwezi Mei 25, 2018 kila mtandao ulifanya marekebisho katika User na Privacy Policies zao. Hii ilitokana na mabadiliko ya sheria katika mataifa ya Ulaya (European GDPR) hivyo kuwalazimu kufanya marekebisho yatakayo endana na matakwa ya sheria hizo. Hii ilitokana na kesi iliyokuwa inamkabili Mark Zuckerberg kufuatia kuuza data kwa kampuni ya Cambridge Analytics. Jamii Forums ilikuwa ni moja ya mtandao uliofanya Updates (Sikufanikiwa kusoma mabadiliko yao yalihusu nini). Suala la kujiuliza ni kuwa mabadiliko yao (Jamii FOrums) yaliyofanyika sambamba na mitandao mingine yalihusu nini? Au ulikuwa ni mkumbo tu kwa sababu mitandao mingine wamefanya hivyo? Max kubali kujifunza kwa walio fanikiwa utafanikiwa!
 
Nisiejulikana

Senior Villager
#2

Kwani Jf hawakuaupdate policy Zao
Upo ugenini jaribu kuficha ujinga wako basi.
 
#12
ya jamii forum jana mengi jamani msiifananishe na facebook na wenzake, ni kwaajili ya tanzania tuu lakini ilikua ni mtandao wa kipekee kuwepo hapo duniani. kitu kikubwa sio kuikosoa jf badala yake ni kujijituta kuwa na serikali isiotoa frusa rafiki kwa wabunifu na na wenye vipaji kwa maslahi ya vizazi vijavyo, badala yake wao kili kitu wana kichukulia kisiasa tu. na bahati mbaya sana kuwa nawa bunge wanaoangalia chama tuu na sio maslahi ya umma, wao kwanza chama na yakwao ya uma mwishoni. hope tutafika tuu.
 
#14
Suala la mitandao ya kijamii kutoa taarifa za faragha kwa vyombo vinavyo simamia sheria ni la kila mahali hapa duniani. Lakini cha ajabu hapa Tanzania Maxence Melo anaiaminisha jamii kuwa hakuna kitu kama hicho. Hiyo hapo juu ni kutokana na sheria za Marekani na kuna International Laws ambapo pia Facebook wanakuwa Liable kwao kutoa taarifa in-case of Criminal Investigation.

Kwa wale waliomakini na matumizi ya mitandao ya kijamii hivi karibuni kuanzia mwezi Mei 25, 2018 kila mtandao ulifanya marekebisho katika User na Privacy Policies zao. Hii ilitokana na mabadiliko ya sheria katika mataifa ya Ulaya (European GDPR) hivyo kuwalazimu kufanya marekebisho yatakayo endana na matakwa ya sheria hizo. Hii ilitokana na kesi iliyokuwa inamkabili Mark Zuckerberg kufuatia kuuza data kwa kampuni ya Cambridge Analytics. Jamii Forums ilikuwa ni moja ya mtandao uliofanya Updates (Sikufanikiwa kusoma mabadiliko yao yalihusu nini). Suala la kujiuliza ni kuwa mabadiliko yao (Jamii FOrums) yaliyofanyika sambamba na mitandao mingine yalihusu nini? Au ulikuwa ni mkumbo tu kwa sababu mitandao mingine wamefanya hivyo? Max kubali kujifunza kwa walio fanikiwa utafanikiwa!
mafisi nayo yamevuka boda aisee
 
Gidheli

Village Elder
#18

Ajifunze nini tena?? Acha uchawi mkuu
 
Top