IVI NI KWELI TBC MMESHIDWA.

shirika la utangazaji la tanzania kwanza niwapongeze kwa kuonyesha mashindano ya FIFA WORLD CUP 2018,ivi ni kweli mmeshindwa kununua digital flat screen nzuri? kwa ajili ya wale wachambuzi wetu.naona bado wapo kwenye analog wanapata tabu sana kuonyesha matukio ya 1half hadi wachukue kutoka studio namba 2,wakati yale ilitakiwa yafanywe nawao wenyewe palepale.ebu jifunzeni basi kutoka kwa walio watangulia.
ni hayo tuuu.

Wanapata tabu sana…

Hivi kumbe TBC bado ipo??

imepenya@TBC

Hao TBC sijui iweje ndio waje wajitambue

90% shirika linategemea ruzuku serikalini. Matangazo ya biashara wanayoyapata ni machache sana kutokana na ukilitimba wao, viewers wamepata kipindi hiki cha kombe la dunia baaada ya hapo hakuna

Una moyo mkuu kutazama TBC!!!

Mkuu kiTz wao ndio miongoni mwa waliotangulia so wanahisi hawana cha kujiifunza (sisiemu mentaliti).
NDIO Digital flat screen wameshindwa kununua ndio maana hawana. pesamfukoni

Moyo wa JIWE

Mnapata yabu sana kuangalizia tbccm,

Hmm!..

Mnapata wapi ujasiri wa kuangalia mpira TBC?

Siangaliagi tbc

Bora nikaangalie mpira bar wanapotumia dstv kuliko kukaa nyumbani na kuangalia tbc.

It’s Shame

Nahisi ile studio siyo ya TBC Bali ni ya Tv1

naangamia kupitia Mozambiq safi kabisa.

hivi mtu unawezaje kuangalia TBC na ITV:oops:

Inakuaje Mashirika Ya Habari Ya Serikali Za Wenzetu Yana Pesa Balaa Mfano Bbc Cnn Ila Lakwetu Ni Masikini La Kutupwa

TV iko kwenye Autopilot hio wapi mnapata muda wa kuitazama

Najiona mgumu sana wa kuelewa, na mbaya zaidi sijui hata mnajadili kitugani. Ebu ngoja niendelee kuwa msomaji, pengine nitaelewa mnachokijadili.