It will take a lifetime for Tanzania to catch up with Kenya

#63
Kenya ilikua inafaa kujicompare na kina Egypt saa ii..but our leaders messed up.Tz ni nchi maskini kama kenya tu but with the resources they have walikua wanafaa kukimbiza africa.hao ndio wamelala sana
 

Top