


Juzi huku kwetu gated Community walitoa rule ati hakuna kufuga dogi, na wale wako nazo wamepewa notice wazihamishe juu ya unnecessary barking.
Sahio unenunua nyumba 12M
No freedom at all. Alafu usipolipa service charge wanakata maji. Na nyumba ni yako!! And you can't do shit.