Vitu kwa ground huwa different always in Kenya.
Utapata citizens of those countries that are exempted wanakubalishwa waingie bila shida lakini wewe mkenya ndio unathulumiwa na mkenya mwenzako!
This country has turned into a real shithole where govt officials (including president!) say one thing and something totally different is implemented kwa ground!!
Why is citizen not saying where they are being quarantined? That videos leaves a lot of questions unanswered
Kuna ubaya gani kuquarantine watu kutoka nje?
Addis Ethiopia pia, mboys imeland, amewekwa ndani for 7 days!!