Ipee maneno hii picha

…[ATTACH=full]176337[/ATTACH]

[SIZE=5]unajua huna madaraka hapa? mbona unauingilia sana huu msiba? kwanza wewe si…wala si … wala si … embu ondoka tafadhali[/SIZE]

Mheshimiwa unaonaje huu mzuzu wangu siku hizi?,‘unasemaje wewe’,acha hasira isiwe tabu basi…

:);):cool::p:D:eek: Hmm!.. Ngoja nimezee, maana…

Eti we mdada sugu amekaa wapi?

MBOWE: “…Ndo nakuchana hivyo mamae… hilo libajeti lenu lililopindapinda hata mkilipitisha ahami mtu bongo hii…kawaambie na mafisi wenzio,mmeshatukomaza hadi ndevu zinagoma supablack, simblisi nyie…”

TULIA: “Jomoni Muheshimiwaa…”

MBOWE: “Aaagh! kwenda kule…”

Wabunge wa upinzani watakao kwenda kuchangia damu niiii…

Ntakutwanga…, jaribu!!?

unanipa hinipi?

Unatoa hutoi?

Halafu we kinyang’unya nakumind kishenzi !

Acha kuniletea shobo we choko, nakuangaliaga tu mule ndani. SHUBAMIT!! kunyambegere

ntakulipuaga mimi

Tulia: Jamani Mbowe tangu utoke Jela ndio hutaki tena kutoa nywele za kwenye kidevu?? enewei nakupenda kama ulivyo
Mbowe: Unazengua ujue? ooooohoooooo.