Internationals mambo yote

Watu wa kukuliwa na bado wanangojea next weekend poleni. Leo ndo ile siku ya kukamua wahindi. Weka handicap ka zote. Internationals uwa sure ish ata ka watu urudi ligi na injuries

Wekelea bet wacha panganga mob araaa!

Panganga ni wewe. Ndio hii apa mchezo ya jana. Ntakujenga ya leo utulie[ATTACH=full]90158[/ATTACH]

[ATTACH=full]90159[/ATTACH]

Boss uko na upuss

Nategea train yako nione muhindi kando

Alafu hii ikapiga chini. Ndio usifikirie niliwai kila kitu

[ATTACH=full]90160[/ATTACH]

Enda sasa ukapige punyeto ukiwaza

Kiasi nipange ntaweka

typical Kenyans, wakuringa akisha shinda but akiweka hakuona haja kupea wana kijiji wachambue

Stars leading DRC @Mayakos inter friendlies