Ingiza 100$-300$ kwa siku hapa

Tumain:
Namna ya kupiga pesa ONLINE hata kama umelala beach

Kwanza kabisa download app iitwayo Humanic kutoka play store au click hi link hapa kuipakua https://hmq.im/appExt

Baada ya kuipakua ifungue na papopapo utaaanza kujisajili kama ifuatavyo:

1.utaweka namba yako ya simu iliyo hewani !

2.utaweka picha na picha utaipiga papopapo

3.utaweka username (jina) lako

Baada ya hapo utakuwa umekamilisha usajilli!

Namna ya kuingiza pesa:

1.Kwanza click jina lako/picha yako kama hujaweka jina juu kushoto mwa app yako.

2.ukisha click hpo utaona chini kabisa pameandikwa PROMO CODE utapabonyeza hapo na utaweka hizi code 980628

3 uta click OK na baada ya hapo itakuletea ujumbe kukuonyesha umepewa Humanic coins ukiwa imepiga tick :heavy_check_mark: utaclick hiyo tick hapo tiyari utakuwa umepata coins ambazo ndio pesa.

KUINGIZA PESA
Hatua ya kwanza ya kufungua account yako ya kipesa ni kwa kuweka hizi promo code 980628 ambazo nilishakupa Maelezo hapo awali.

Sasa ili kuweza kuingiza Pesa nyingi ni kuwaalika watu watumie app ya Humanic na wewe kuingiza 1$=2280 kwa kila kichwa utakacho kialika.

Kwa hiyo kwa siku moja uki waalika (invite) watu 30 una wakajiunga na app hiyo wewe utaingiza 30$(dollars) zaidi ya 70,000 .

Kwa hyo sasa ili upate pesa ni lazima uwaalike watu weeengi zaidi na kupata pesa nyiiingi zaidi!

NAMNA YA KUTOA PESA
1.unaweza ukauza coins zako!Mimi ni mmojawapo ninayenunua coins kwa bei nzuri,pia wapo watu weeengi wanaonunua coins kwa bei nzuri pia ukajipatia kipato au uka withdraw pesa kupitia wallet yako.

Sasa basi kama huna kazi hii ndio fursa yako ya kuingiza pesa ,pia unaweza unatumia mda wako wa ziada kupiga pesa hata kama upo umelala fofofo!!

Sasa unangoja nini? Kama unaweza ingiza 10$ kwa lisaa 1.tuuuuu!

Ukishindwa wasiliana nami inbox/hapahapa nikusaidie.

Hahahahaha!!pambana na hali yako tu mkuu

Fursa rahisi hadi raha, we una dolla ngapi sahivi?

@Invisible
njoo uone hii meffi imeposti meffi

Kuna mtu huku ananisumbua kila siku ati aniunge kwa hii mambo. Nami sikomi kumpanga.

Hiyo code aliyokupa ndo inamuingizia yeye madolari. Maisha yangekuwa simple kama hivi sidhani kama watu wangekuwa hawana pesa

pigia mbuzi gitaaaa nyauuu wewe

[ATTACH=full]180205[/ATTACH]

:D:D:D:D cheko la kibabe

ha ha ha ha unacheka kibabe