INASIKITISHA SANA

#1
INASIKITISHA JAMANI SOMA HII!
Baba na mama baada ya kurudi kazini pamoja wakakuta BARUA iko mezani SEBULENI ikisema.... "Baba na mama, ni matumaini yangu kuwa mtasoma ujumbe wangu huu kwenye karatasi niliyoiweka
juu ya meza, naomba msishtuke mana ni mambo ya kawaida kwenye maisha tunayoishi, najua mtaumia kwa vile bado nasoma na ndo nipo kidato cha kwanza..." Napenda kuwajulisha kwamba sasa hivi mnaposoma hii barua sipo nyumbani, nimetoroka mana nimegundua nina uwezo wa kujitegemea kwa sababu mi ni kijana mwenyewe umri wa miaka 14 na ninajua kipi chema na kipi kibaya. ENDELEA HAPA>>>>>>>
 

Top