I’m looking for my husband Asprin

Asprin babe where ever you are Sky Eclat is dying to see your face in here

Anakuja

Madame Your missed…

Karibu huku… Sema tu hapajachangamka kama jf yetu…

tushamiss story zako za kiswazi …

Aisee!

Nipo hapa ingia huku chumbani lakini usiwashe taa. Si unajua huku ugenini?

@Sky Eclat, umemmiss yuwa mai hazibendi wako!!! Yuko Huko mtaa wa pili kwa @Mzigua90

Duuh! Usijali Dada babu atakuja tu.

Unataka kunigombanisha na bibi eeeh??

Bibi anakudekeza hadi unamdekeza babu

Hahaahaaaa. Babu anadeka kweli

[quote=“theriogenology, post:3, topic:163366”]

Madame Your missed…

Karibu huku… Sema tu hapajachangamka kama jf yetu…

tushamiss story zako za kiswazi …
[/QUOTE

Patachangamka tu,[/QUOTE]

Hi Guys

Nimefurahi kujiunga hapa baada ya kutufungia JF TZ

We are still moving

Thanks

Yule mzee baba asahau kura zetu 2020

Unahatarisha ndoa ya watu ww

Aisee

Punguza wifi wa kiume

Asprin kashakamatwa na watu wasiojulikana

Jamanii mimi G wangu mmenionea huku ama

Kiti inakuja( in wakenya’s voice)

First lady mwenyewe hatompa, iweje sisi…