Huyu mbunge akili zimerudi

“Nyumba yangu ilichomwa moto, nilimpoteza Baba yangu mzazi, na mabomba ya maji ya kwenda kijijini kwetu yaling’olewa, kwa sababu ya suala la gesi. Lakini niliitetea Serikali kwa nguvu zangu zote. Sasa Serikali hiyohiyo leo inataka kuua Korosho. Nasema sitaiunga mkono serikali kwa sababu sitaki kuchomewa nyumba tena mara hii” - Hawa Ghasia Mbunge wa Mtwara Vijijini na Waziri wa zamani ktk wizara mbalimbali, 25/6/2018

“Usimuamini muongo hata akiongea ukweli”

huyu ghasia hawezi kuaminika ni chui aliyejivika ngozi ya kondoo

Ni mzuri,midomo yake ile,lips,…mengine endeleeni

Nakuunga mkono mkuu Sadru, nami nampendeaga hicho tu! Yaani hata kule mahali majora na minora zitakuwa hivyo hivyo!! Sasa huu unafiki anaotaka kuonesha hapa Mimi sikubaliani naye! Kwanza wamepigwa marufuku na boss wao Kibajaji wasikiseme chama ndani ya bunge!

Naona umemwaga radhi, Nitamwaga radhi…, Mwaga, nitavua nguo … Vua!..

Mkuu hiyo ngoma ulishahudhuria nini? Mbona unavifahamu vibwagizo vyake namna hiyo?

yaani sikutarajia kabisa…

Hao ni wanafiki tu hadi yawakute ndio wanajifanya kuwa na huruma na wananchi!!mbona kipindi kile yupo ni waziri alikuwa anatoa mipasho tu kwa wabunge wa upinzani!!wakati wa sakata la gesi ukweli alikuwa anaujua lakini aliamua kuwa upande wa serikali dhidi ya wananchi?

Yale yale! Ina maana baba yake asinge kufa, na vitu vyao kuharibiwa angeunga budget mkono?? Personal interests kama kawaida

Aliwakejeli watumishi sana alipokuwa utumishi. Mnafiki na mchumia tumbo wa kutupa. Achana naye alie na unafiki wake. Ila wanasema amejaza

Huyo mama Ghasia anataka kutumia hili sakata ili atulizwe kwa kupewa uwaziri. Hana mwamnachi yoyote anayemtetea.

Huyu ni jamaa yake first lady aliyepita!! na najua yuko serious interest zao jamani. Namfahamu kajifunza kuongea juzi juzi

Sasa Namba zimefika kwa wenyewe

sasa si ndio akili ina mkaa…

[SIZE=7]kamwe usijaribu muamini.[/SIZE]

Hataki tena zitokee Ghasia nyumbani kwake!

Upumbavu mtupu

Mambo yao waachie wenyewe…

Kila wakinenacho tayari kinamaelekezo kutoka juu…

Cc: @Mahondaw

Sisi tunataka afe yeyee sasa ivi?