Huu hapa Wimbo wa Sugu (Jongwe) -219

Ngoma ni kali sana, halaf flow ya Sugu tangu enzi za Nipo mikononi mwa policcmm haichujagi

Bwana ee keshaula atulie tu na kuwaza mbinu za kupeleka maendeleo jimboni hata kama kabanwa na bwana jiwe.

Pogba lazima afanye kudowload hii kitu.