HTTP TRICK DECRYTPION

Habari !mwenye uelewa wa jinsi ya kudecrypt hizi free site.nawasilisha

[ATTACH=full]176008[/ATTACH]

This troll is getting mundane

Pole mkuu, sitarudia tena kuiweka, hata nitaifuta kutoka kwenye kumbukumbu. Samahani tena mkuu kwa hitilafu hio…

Mbona hamnipi msaada wakuu?

Hizi free sites ndizo zipi, na mbona zahitaji kuwa decrypted? Ukianzia hapo labda utapokea msaada…

Hali ya sasa sio kama zamani freesite za sasa ngumu kupenya

Vipi kihusu

Vp kuhusu ICMP

IT personnels wengi tumewaacha JF, ingekuwa kule unafukua tu nyuzi unapata

Swali lako halieleweki, elezea unachohitaji tukusaidie