How Do You Pursue Bandits At Night While INSIDE A Van? Our Forces Need More Training. Isn't That Setting Yourself Up?

Poleni kwa msiba but pia muwe organized fellows.

Imagine being crammed inside a Landcruiser sitting side by side holding an AK or G3 rifle pointed upwards on the rugged roads of Turkana. Utapata saa ngapi za ku manuvor mkianza kunyeshewa maridhe?

These young inexperienced D- s were just sitting ducks. They had zero chance yet this is not the first time

[ATTACH=full]468193[/ATTACH]

Pokot bandits sio watu wa kupewa GSU ama Polisi, ni watu wanafaa kupelekwa Army like they did in Mt. Elgon. But I can gurantee you Arap Sungoi will deal with them ruthlessly. Naona Human Right wakianza kucomplain very soon because some serious Operation is looming as we speak. Nasikia kunapelekwa assets zingine mwenda

Mambo ya Army on the Proletariat, inaweza backfire.

wrong approach.

Pia mambo ya kupeleka Aliens ikwishe.

It’s obvious that the government is only in control of urban areas.
The security forces are not schooled in fighting in the bush and the intelligence system put up by Moi was destroyed

Isn’t this how sldf was dealt with huko Mt Elgon

Stop misusing police officers. Kama mfanyikazi wa serikali akiiba 20 million hamtumi gsu, hapana tuma gsu mtu wa kawaida akiiba ng’ombe za 15 million. Mnafanya askari wakufe bure wakifanya kazi haina maana

No more lost lives.

The community should discuss the issue and provide a lasting Solution.

Security should be conducted by natives within the security forces.

Keff Joinange anafaa kuingia kwa hawa Pokot bandit na kufanya interview wakienda raid… Ooooh my ghaaaad we’re going for a raid, it’s going to be ssssssmoking

https://edition.cnn.com/2007/WORLD/africa/02/06/btsc.koinange.nigeria/index.html

Hadn’t this been tried for years? Wapigane na wauane mpaka heshima idumu

Mambo ya fights within the country ni Upusi.

Solution ziko.

Mnapea mpigs pesa wanapelekea slay, wapewe ngombe, Soko, na wafunzwe kuwa Border patrol, we harness their God given talent.

They’ve tried diplomacy, it’s failed. Sasa unataka waendelee kuwabembeleza? Priss priss acheni kuiba ngombe na kuua, na Mungu atawabariki?

Ni kama haujui Pokot bandits ni kina nani.
They steal cattle as a tradition. Sio ati wamekosa opportunities.

Dawa ya bandit ni bandit, huko isiolo, samburu, na garisa border kila community ikona wanaume wakona bunduki. Samburu or turkana ikiiba kwa somalis or boranas, haitachukua hata twenty four hours before mali zote zirudishwe, no one cares about police huko. Police hukuja baadaye.

[COLOR=rgb(184, 49, 47)]FIGHTING FOR A CAUSE VS FIGHTING FOR SALARY
[COLOR=rgb(184, 49, 47)]POKOT VS GSU/POLICE

That’s right. Cattle rustling is a right of passage to be a man kwa hao majangili. Kama hujaenda raid ya kuiba ng’ombe ata bibi huwezi pata

30k is not enough tO die for… I were them, ningepark near town wait it out a few days then… Hao bandits start using guns when young, it is not a fight for boys Wa kiganjo

kuna mama mjinga ndio aliambia hao D minus wafuate izo ngombe. normally they dont

Moi used the military to weed out Shifta in North Eastern. Sikuizi hio upus haiko huko kwa dromedaries. Wakikuwa 18 years old, huwa wanateremka kuja Eastleigh kuhustle.

Kenya police are still in medieval time in fighting organized crime.
The government should form a special Branch in fighting rustling. Better equipped with drones and artillery fire like howitzer.
Rustler wakihepa you shell their position,use kamikaze drones for suicide mission. Police KAZI ni kuokota maiti.
One on one our 32 teethed D minus hawawezi toboa na bandits.

Ati wazazi hu apply pressure kwa vijanaaa wana waambia “enda tafuta ngombe uoe” ni kama vile kijanaa wa tao hu ulizwa “utahama lini ?”

So you are saying that the police should do nothing when livestock are stolen, that they should remain in their camps and continue enjoying afco pombe? The police have a duty to protect all kenyans property and recover it if stolen. That is why taxpayers pay them to provide security for life and property. This is just an occupational hazard for their job.