How are Mtaani KPL soccer players coping with maisha?

Swali tuu? We all know hizi league za Europe ma player sio wasoto. Hata league ikikuwa cancelled they will still survive. Naongelea players local ule after mechi badala aingie state of the art team bus anapiga kalesa hadi paipu akiwa amelipwa 500 bob yake take at home after mechi. Saizo amekudungia tracksuit juu chini imeparapara ya sofapaka na sandals za Nike imechapa alinunua gikosh. Anapitia pale kwa wakanyaks ananunua mutura ya mbao alafu anapitia hapo Kwa keg joint kuchapa ka glass akishow maboyz dream yake vile one day atachezea Arsenali.

Kidogo anapitia Kwa mama mboga anakatiwa sukuma ya mbao na anabeba nyanya then anapitia butchery anakwachu ka ¼ nyaguss.

Anafika kejani and wait for the next mechi day alipwe 500/- ingine.

Hao maboyz wana survive aje saizi

Si uwapigie simu uwaulize.
Yvonne ako wapi vile umeonekana kwa kijiji Leo?

Hiyo life ni ya kujitolea. Motego did an interview akasema in his time home matches they were paid between 75-150 and away btwn 150-300.

Wewe fucken haunanga swali ingine ya kuuliza

Lakini wa siku hizi depending in team u Play for nafikiri they make 2K a game for a win. That’s Gor mahia. So i hear

French league cancelled, Dutch league cancelled EPl to follow…

sisi husurvive kimungu mungu tu,ndio mlikuwa mnasema ati corona inapiga press up ati tutakiona,Mungu akiwa mbele mtangoja sana

Even 2k ni mateso.

Si kwa ubaya it’s only that I envy you ma men. Its my dream to one day hit a Caucasian blonde from the rear pulling on that pony tail like a bonobo cow boy.

Dont judge.

Si uwaite huko ujeru muuze mkia na wao. Kiiipiiiiii

They have gone back to engaging in petty crimes and waiting outside chang’aa dens for someone to recognize them as a famous person and buy them a cup

Najua umefurahi kagwe amekubali Hotels zifunguliwe

Bettet than days ya akina Motego

Hata c watamu vile. Once u hit once utajiuliza sasa ndio nini. Let movies not lie to you

Kwani mimi ni recruiter.

Hehehe mna ufala

wekelea links zote…jinga mongoose

2k kwa mechi na k kwa training inaweza fika 50k per month …tax free
meffi ya umbwa wewe

@sludgist Bundesliga inarudi usiwe na Shaka. Bundesliga may 9th EPL June 9th serie A 11th May. Uta BET

mbilikimo tuma kc moja…
Salimia siz akiwa kassel…
next month ntaLand …be very carefull

lakini io league irudi vilevile…
Spurs tuko mbaya…tukikosa top4 umbwa murinyo atembeze kinyocho yake na huko…tena kubwa kubwa

Champions league hamfiki kaka. Sheffield , wolves, manure Na Arsenal wanapigania slot

jinga tuliza kende …ndio nasema league iishe…
Ndio umbwa murinyo aende na huko …wakasugue maKende na wenger …atapewa job ya vijana FIFA ama uefa …
meffi yeye…huyo nugu ni kama @gachui the idler