How a friend almost conned me sema ma genius

So a few years back there is this dude I grew up with I used to run into him kwa bash\party mob all the time he used to pull up in nice rides and chafua the parties kubuy out the bar type of stuff huh!
So boom! Fast forward a few years later I’m hustling at my shop dealing with comps,internet distribution and stuff ndogo ndogo tu the typical Nairobi hustle he comes to my shop and we talk for a few he claims anategea mtu apo kwa shop. Kidogo kidogo his called off akatoka an hour later the nigga hits me up “bro ulimtu nlikua nategea ashafika but minko tao busy kiasi sasa kuna stuff alikua aniletee si ache hapo kwa shop ntapitia” . I know the nigga najua there’s no way the dude ni alshabab so I see no problem with it the dude comes and he call him to confirm. During the convo nikapewa simu nikambiwa confirm iyo mzigo ni dozen moja na ni nyuzi za fish nets. I confirm and all is there so this dude keeps saying on phone naumalesure umeniekea yote 30k na yakutoa harakisha stoki hapa bila. A few minutes later he gets a text gives a smile and says goodbye deal done.
Hours pass my dude calls again and says now there’s a buyer coming to pick the stuff up and if by any chance they ask how much it is niseme ni 70k bila story mob. I get a call the dudes wakaniita kufika wako na bonge LA TX mabuda wawili wanono tukaongea wakaconfirm package nikambiwa nisitoke mpaka mjama wangu apate Mpesa text I wait and the deal is done.
Now before tuachaane na hawa mabazuu wakanichapia waliexpect more of this nets hizi nikidogo sana wakanipea phone nikabonga na mzae flani acting like there superior akasema alitaka not less than 10 dozens of this akanibeg nimtaftie na niachie hawa wazito number. So tukachana on my way back to my work place I’m doing nothing but calculation (a dozen buying price is 30k they want ten at 70k a dozen in short hi Biz nikacheza kivyangu siezi cosa 300k and above)
Me being a hungry businessman in my 20 nkaa chini afta kujiiza a meeting nkapigia ule source wakuzileta direct bila kuambia iyo jamaa wangu akanishow ako inda (industrial area) na Mali iko only that yeye either ulipe in advance au akifikisha tu Mali hivi cash on delivery. Nkamwambia haina noma now hawa client Wababa wa TX hawaachi kupiga simu “umepata ngapi? Changamka utengeneze hii Pesa” wacha nianze kukopa nafkiri nilikopa phonebook yote to me this is a sure bet so Niko na confidence nisake atakama ni 100k niingize iyo jamaa box aniachie au angoje apo kwa shop niuzie wale mbio mbio…
Sema most High Jah halalangi kila MTU nacall anasema ‘nimetumia,ungesema mapema,Mpesa haziwork’ ule most promising anadai kesho na ule bazuu aliniahow anangoja izo vitu Nakuru. As time went I came up with this idea niite source na buyer the exact time wapatane hapo so no risk nikubroke tu! Nikawapigia kufanya set up ampo ndio suspicion ilianza ule akisema anapatikana 3 buyer anasema anapatikana 4 au 5 kumbe wanapigiana simu hii yote ni crew moja long story short.
So let me break it down kwa my fellow Kenyans hizo Uzi hazinge cost ata 3k per dozen so ningenunua za iyo oder 300k wangezima simu nibaki nauzi na nishanunua alafu ule jamaa aliwaleta angeniruka na ile story ya “misikukushow ufanye biz nao niwewe ulijingiza” in short kukosa Pesa ikanisave nilikuja kujoin the dots after kupata victim mwingine.

Hii con huwa na variations mingi, and it mostly involves fairly common and cheap stuff such as hiyo net umesema, seeds, or plastic items. But the cons somehow make them seem so valuable unaeza shinda juu chini ukizisaka na pengine zinatandikwa kando ya barabara in some part of Nairobi. Anyway, greed plays a huge role in getting conned. Kama wewe ulikuwa blinded na potential returns, forgetting those bazuus have ways of doing their own research and getting the items at a cheaper price.

“Fishing twine” - Old trick but I am surprised si watu wengi hujitokeza waki-con-iwa na hii trick.

This is so informative. Enyewe, si watu wengi wangeshikanisha.

:smiley: hekaya swaffe mno

Apa unge wipe.iwa clean mujamaa …

Uliponea boss. Hapo ulikuwa uoshwe ile noma :smiley:

Hio na ile ya mercury nimeisikia sana

Our biggest vulnerability huwa greed and impatience

Hekaya swaffi but next time use shorter sentences and punctuation.

From now hence forth nimesema mtu akinicon i find him ata ajifiche wapi break some joints…dci baadaye

I have only been able to follow the story given the title, the conclusion and the possible conning tricks

Otherwise mazee work on your grammar, punctuation and do not attach words

Ya mercury ni gani io??

A friend of mine who works in ABSA, Narrated to me how she was conned through this Mercury scam, now that I got no chills and I was fairly tipsy my response is she go collect her MSc. school fees and she is of below average IQ to date don’t see eye to eye

Nairobi ni shamba la mawe.