Hizi Swaga Zitajirudia 2020?

Hizi Swaga Zitajirudia 2020?

Ni mwendo wakushikishwa adabu tu.

[ATTACH=full]177464[/ATTACH][ATTACH=full]177465[/ATTACH][ATTACH=full]177465[/ATTACH][ATTACH=full]177466[/ATTACH][ATTACH=full]177466[/ATTACH]

Nyingine hizi zikipewa pilau na mataputapu zinajitoa ufahamu kwa kwenda mbele

[ATTACH=full]177469[/ATTACH]

[ATTACH=full]177470[/ATTACH]

UVCCM wakigombea pilau ya kampeni

Hahahaha…

ngoja tuone watakujaje!

Walivyo na roho ngumu watazirudia tu… kwanza bajeti ijayo itaanza na “Nyongeza ya mshahara” japo kiduchu… hapo ndo utaona Watz walivyo wasahaulifu!!!

Akili kumkichwa na ujinga pia kumkichwa. SHUBAAMIT!

Hapo ndio wanapo nichosha Watanzania! kama mizigo?

[ATTACH=full]177538[/ATTACH]

Huyu si alistahili akajibu mashtaka yake ya grievous harm with intent.
Au me sielewi!

Haaahaaa kaka mkuu umenichekesha sana:D:D:D

:D:D:D:D:D
Kampeni huwa zinafurahisha sana

Unaelewa sana tu ila unaleta ujeuri!!

Ujeri tena?

Mamaeeeeeee zaoooooooooo

Hii sio mgao wa buku 7 wamedhulumiana?:meffi::meffi::meffi::D:D

mmmh!

mie nangoja nipate picha nyingine wakuuu, maktaba hebu tuletee za zaidi tafadhali