[ATTACH=full]178207[/ATTACH]
Hahah!! Labda hizo ndio zile za no keys, push to start
Ukiona hivyo ujue ni product ya lumumba wanaotuletea bajeti hewa.
Kinachowazwa na kuzungumzwa hakiendani na uhalisia
“Hapa kazi tu” bila vitendea kazi
hahaha bila hizi siku inakuwaga ndefu na maisha yanaboa
…
??
!!!
Hmm!..