Hii fashion siielewi kabisa…Sijui niwaite wanaume sijui wavulana sijui watoto wa kiume, ila ni hii jinsia ya pili ambayo sio wanawake. Mnawezaje kutembea umebeba kinainai na upo comfortable kabisa unazurura nacho? Mie mbona naona ni pure kitu cha kike au mie tu nakomploketisha mambo!!!
Nishapishana na hao jinsia hiyo mara tatu sasa naona wanatembea wamebeba hivo vi nainai nasimama kabisa kushangaa, nimewaona dar tu lakini sio kwingine.
Kwa wasiojua vinainai ni vipochi vidogo vina mikanda mirefu, unakivaa kwa kupitisha kifuani yani hakikai begani. Hii fashion ni sawa kweli??!!!
Sikua nimepigwa ban,niliweka avatar ya ban!
Halafu sasa nilikua nataka kubadili email ikawa inagoma nisiingie Yale ma Reconfirmations yanasumbua mpk Jana nkatumia email ya mwanzo ndo ikakubali na nkatoa ile avatar!