Hivi Messi alipewa ukapten wa nini yaani hata kuelekeza wenzake hawez

So Sad jamaa sijui alilewa wine,hata kufokea wenzake hawezi kapten gan unashangaa viuno vya totoz tu

Povu

Messi kazoea kukusanya kijiji cha watoto wa LEVANTE, Urusi hakuna watoto!

Yaan sijui kwann makocha wanamuogopa sana messi iwe argentina au barcelona.

yule kocha wa argentina jana wana statistics wakikalculate umbali aliotembea pale uwanjani anamzidi messi, mana aligeuza uwanja mandela road,

Timu za Taifa zinakuwa na kawaida ya kumpa ukapteni mtu kutokana na ubora uwanjani badala ya ubora wa yeye kuongoza wenzake.

Nadhani ni kwa sababu za kuwaogopa.

Kocha wa Argentina alichoka zaidi ya wachezaji.

Hahaaa!nakaziaaaaaaa

Yaani mpk huruma mzee wa watu

Team Messa

Urusi hakuna Osasuna

juzi walimkaba hakupumuaaa dadadeki…

cc @Smart911

Mpaka alikua anatia huruma aisee…

Khakha alikuwa anaonekana kwa kubip dadadeki Argentina wajipange vizuri…

Mpuuzi sana yule jamaa…kashuka sana kiwango,itakua anaendekeza nyeto

Ndio faida za kulewa sifa
Nalog off

Ila kuna mazwazwa kama ww…

Captain Ramos ana jibu sahihi la swali lako…

Shosti tuliza basi hayo marinda sina kunio mie

Duh!! mm shosti…