Hivi Jiwe akipelekwa ICC ataweka advocates?

Nasema hivi kwa sababu hataki kuwasikia na akathubutu kupiga mabomu ofisi zao.

Akipelekwa ICC advocate wake atakuwa Change!

Umewaza mbali sana

Just for curiosity, maana hataki kuwasikia advocates anasema advocate anayetetea watuhumiwa wa makosa ya jinai mahakamani naye aunganishwe kama mhalifu. Sasa yeye akipelekwa huko advocates waunganishwe kama wahalifu? wasimtetee?

Ule ni ulimbukeni tuuu,unamsumbuaaaa.

Na bora asingekua muoga sasa.

Wajinga wanafarijiana…!!!

Wajinga ni hao waliokuzaa, kuzaaa jinga kama wewe

Utapata Tabu Saaaaaaaaana… Kaa Ule Pyeeeeeeee pyeeeeeeeeeeee ndiyo nini…??? Una Buypass Air ya H[SIZE=1]2[/SIZE]S tu hapa…Mijusi mingie bhana…!!!

Muulize mama yako alivyozaa na mjusi

Hahaha… ikitokea ndiyo tutajua…

Anaweza akawaambia yeye ndiyo wamfuate…

Cc: @Mahondaw