Hino vs Isuzu -over 33 seats -which is better?

For those who want to get a minimum of KES10,000 a day (It varies), which is better? Mitsubishi or Hino or Isuzu?

  1. 51 seater (Hino 2013) at KSh 2,350,000
  2. 33 Seater Isuzu NQR. Year 2020. Diesel
    3,650,000
  3. 33 seater, Brand New Isuzu NQR, 2020 For Sale KSh 5,800,000
  4. Mitsubishi Fuso Rosa 2015 Grey KSh 6,000,000

ISUZU any time, any day.

Hino ni machoss… the owner of Mbukinya bus won a lawsuit against them for selling fleets of buses with numerous faults.

Isuzu,
Kenya mpya are selling their hino fleet, go and buy for 1.2m

And Mitsubishi?
Hino ni kama they are problematic.
Isuzu sipendi Kama kila MTU ako na the same Make, Model, Colors.

Lakini itabidi nitafute Isuzu mpya ikae kama 5 years iuzwe.

I have never been in the matatu industry but common wisdom has it that buying a used matatu as a newcomer is a no-no. Two, those per-day figures they throw around are elusive, as many have discovered. Otherwise, why would anyone sell a vehicle for 3 millions if the vehicle can earn him that much in an year?

This amount was from my cousins 33 seat matatu Kikuyu to Nairobi, SuperMetro.

Matatu veteran @Yuletapeli akimaliza kulipa loan atacomment.

I doubt you can net 300k/month after deducting all expenses including the invisible one (depreciation). Maybe Dec pekee.

Isuzu all day all night.

Time ya 300k illisha in 2014/2015. Sahi basi haiwezi jilipia loan. Net ni 200k/month ikienda sanagari ni Isuzu. Hino is a no.

Fanya serious research this is too basic utanyolewa ama wacha tu

Isuzu anyday ,it’s more fuel efficient ,spare zake are more durable , easier to repair,parts are slightly more expensive than hinos, Mitsubishi Kama Sio FH wachana nayo my friend.

kuja nikushikanishe na fellow investor, amechukuwa nqr Dec iko kwa super metro…Isuzu anytime huku n kenya

Always have at least 50% of the purchase price ni pesa yako Haina loan and you don’t need it for a year ,hio ingine chukua loan ya Sacco Sio bank and negotiate for a quarterly repayment method ,Sio za daily , weekly or monthly payments.
Supermetro wako Sawa kabisa upande wa management,start with one then let the business grow as you learn.

Super metro hao investors watalia sana I. Two years. Ask me why…

Please expound mkubwa before akina @Karoga wapoteze pesa yao

Chairman ni beste yangu. Nambari ya telephone ukitaka niko nayo for further details.
Ukiwa na 1m utapewa basi mpya.
Monthly payment ni 120k plus insurance itachezea 190k for four good years. Na unajua after three years, gari huanza kuitisha.
Gari ikiwa mpya ni 10k daily minus 2k ya management daily. Investor zake ni 8k na yeye ndio analipa loan.
The 10k sio za daily huwa zinakosa. Mahali biz iko Sahi ni kile dereva atapata. So it flactuates.
Gari zinaendelea kununuliwa meaning that gari nyingi zitachotwa juu ya enyewe kushindwa kulipa loan.
Sahi secret ni kushika used one unaunda inakuletea 6-8k daily. Gari mpya is a no. 5.8m is a lot. Hio loan itakalia mtu.
Na biz ya mat ni rahisi kama ukona zaidi ya Moja.

Waaah noma sana… so it’s better kununua treasury bonds na hio pesa

Ukiwa na 1m ununue TBs, at the end of the year si you will only earn less than 100k. Hio nayo sio investment.
1m itakuwa inakupea less than 10k on a monthly basis. Ama kunaendanga aje?

In Matatu industry the tuition fee is too high, you are engaged and drained physically, psychologically, socially and FINANCIALLY. It takes time. It took me more than a year hadi nkareduce weight. Usicheze na loan ya matatu. Alafu watu wanaona ukona mbesha na Sa hizo unaisha…:smiley: