hii kuroiler ya jango love inaitwaje IG

cc @Deorro @Jimit

imeniweza mbaya
[ATTACH=full]240602[/ATTACH][ATTACH=full]240603[/ATTACH]

Thehorro unaitwa…

@Deorro iliendaga wapi?

Xiaomi poko phone yake ilizimwa na Trump. Atarudi tariff war ikiisha. Anaomba usiku na mchana Trump asamehe China.

was working on some project lakini nilikuwa nawaangalia tu chini ya maji

Xiaomi and Huawei are different companies. Hiyo Numbskull yako haijawahi jua?

I do not bother knowing substandard garbage Chinese brands. :D:D

Huawei hata nimeijua juu ya Mzee Trump. Xiaomi niliiskia na wewe.

Hebu kwanza wekelea picha ya hio Xiaomi yako tujue ni nini hii huwa tuna discuss hapa. Labda inafanana na walkie talkie na sisi hapa tunadhani ni smartphone fulani!!

Labda hata haina screen… labda ni palito fulani ambayo pia ni simu…

Patco unajaribu kujifanya Troll but you end up looking very dumb

Nani anashinda akiita mwingine?! si ni wewe?

Kama saa hii si ni wewe umeniita? Na ukanitukana numbskull for no reason?

Wewe ndio troll. Nikikaakaa una ni mention… let @patco explain…

‘Wacha @patco akuje awaambie vile apple ni expensive…’

Halafu ukiongeleshwa unakuwa emotional.